Hivi tatizo la huyu jamaa ni nini kwenye mziki?huwezi ukasema kuna wimbo wake hata moja ume-hit,aisee mshikaji mi naona kama hana nyota kabisa.
Wa siku nyingi sana ila sijui kama anakubalika kivile.
Mnaomfahamu huyu jamaa tupeni historia yake,anafanya nini kwa sasa je mziki anafanya kama hobby au kazi?
ila bado kama under ground tu