King Jody
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 1,834
- 3,456
Wengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk
Wengine waliowahi kutendwa hawataki hata kusikia habari za mapenzi,
Wengine wamepoteza maisha kwa sababu ya vivu wa kimapenzi,
Wengine waliwasomesha wapenzi wao kwa gharama kubwa mwisho wa siku wapenzi wakaolewa na wanaume wengine. Wakaja na msemo kuwa mchumba hasomeshwi.
Wengine wanasema kataa ndoa 😀 😀 😀
Wengine wanasema mapenzi ni upofu, unaweza kumpenda tajiri au masikini,
wengine wanasema siwezi ishi bila yeye😀
Wengine wanasema najuta kumfahamu
Wengine wakasema He\She drives me crazy😀
Wengine wakasema nikilala nakuota, nikinywa maji nakuona kwenye glass😀😀
Haya mapenzi yana visa vingi vya kufurahisha na kuhuzunisha, je kwa upande wako wewe mapenzi ni kitu gani?