Hivi Mapenzi ni kitu gani?

King Jody

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
1,834
Reaction score
3,456
Wengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk

Wengine waliowahi kutendwa hawataki hata kusikia habari za mapenzi,

Wengine wamepoteza maisha kwa sababu ya vivu wa kimapenzi,

Wengine waliwasomesha wapenzi wao kwa gharama kubwa mwisho wa siku wapenzi wakaolewa na wanaume wengine. Wakaja na msemo kuwa mchumba hasomeshwi.

Wengine wanasema kataa ndoa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Wengine wanasema mapenzi ni upofu, unaweza kumpenda tajiri au masikini,

wengine wanasema siwezi ishi bila yeyeπŸ˜€

Wengine wanasema najuta kumfahamu

Wengine wakasema He\She drives me crazyπŸ˜€

Wengine wakasema nikilala nakuota, nikinywa maji nakuona kwenye glassπŸ˜€πŸ˜€

Haya mapenzi yana visa vingi vya kufurahisha na kuhuzunisha, je kwa upande wako wewe mapenzi ni kitu gani?
 
1. Jipende sana wewe binafsi.

2. Mpende Ndugu, Jamaa au Rafiki kwa kiasi.

3. Si lazima upendwe na kila Mtu sababu we si pesa.

4. Achana na mapenzi yatakupotezea muda.


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
SCAM SCAM
 
Mapenzi si kama kitu cha Muchezoo oohπŸŽ§πŸ’”πŸ˜…
 
Muulize Mwinjuma Muumin
 
mapenzi,ni kitendo cha wajinga wawili,kuingiziana sehemu zao za siri,na kukaa uchi kwa pamoja huku wakifurahia tupu zao,kunyonyana ndimi na kuambukizana fangazi,kupeana U.T.I,UKIMWI,GONO,KASWENDE,KISONONO na PANGUSA,alf mwishowe kuachana bila sababu za msingi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama wazee wa miaka ya 60 na wakina Mb dog akina mwinjuma muumini walikosa majibu basi we kijana wa 2000 Tulia,Yakikushinda kula nyeto,nenda kimboka,Riverside,Kaliakoo,Leo Tena,kumalija,ingia badoo,Telegram,Au hata katika ofisi za massage kula nyapu sepaaa…!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…