Hivi mapenzi sometimes ni uchizi?

kuna mshikaji alikuwa anamuacha wife ndani anaruka ukuta na kichupi tu anaenda kumega mtoto wa jirani
 

kumbe umesikiliza radio CLOUDS
 
Hapo ujue ya mkewe si rahisi kuipata. Unajua mke mnaweza kuwa mnalala kitanda kimoja, lakini atmosphere imechafuka. Mara nyingi atmosphere ikichafuka kati yako na mke, hiyo kitu hupati asilani!

Hii ni bomu la maangamizi walilo nalo wanawake dhidi ya wanaume. Sasa bomu la maangamizi likisharushwa, marehemu na/au majeruhi lazima watokee; na mme wa hivyo lazima ni muathirika wa bomu la maangamizi la mke.

Siyo kwamba anafurahia kitu huko bafuni, ila ndo njia ya kutokea tu. Huko ndani kwake kinachoendelea siri yake. Labda wanawake watakapoacha kutumia silaha ya kunyimana ndo mambo kama haya yataisha!
 
"I have loved to the point of Madness,
That which is called madness,
That which to me is the only sensible way to Love" – F. Sagan.
 
"I have loved to the point of Madness,
That which is called madness,
That which to me is the only sensible way to Love" – F. Sagan.

Asha Dii, if this is the case, kwa nini alikubali kuoa mke asiyempenda? Assuming kwamba kuna migogoro ya kumfanya afikie maamuzi hayo, kwa nini asifanye maamuzi magumu sasa? Kwa nini aendelee na maisha ya mateso hivi? Kukutana chooni au bafuni? loh!
 
hauwezijua huenda kwa mkewe kunamapungufu ndio maana anatafuta kulikonaufundi zaidi.
 
"There is always some sort of MADNESS IN LOVE but there is also some REASON IN MADNESS" [Friedrich Nietzsche - Philosopher]
 
hivi mnadhani pilau huwa haichoshi ukila kila siku, siku nyengine inabidi ubadilishe utafute japo ugali kwa papa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…