Ndio utaratibu Mkuu,kila mtu kwa nafasi yake!Umetega sio... bila shaka ni kupokezana kijiti.
Hahaha.Mkuu Daby unajua hata mke wa mtu kama unaitafuna kuna muda unaona wivu ukijua Mme wake anaitafuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani, naona upo kwenye harakati....tehteehhKuna bebee nategemea kummiliki hivi karibuni,ngoja nitege sikio nipate uzoefu!