NIMEKUTA KIJANA MMOJA AKANIAMBIA HIVI Hivi mapenzi yakoje? unajua huwezi kujiuliza kama hujawahi kutokewa na kitu kama hichi.
anayekungangania humpendi kumwambia unaogopa kwani hata ukionyesha dalili za kumfukuza hatoki. utakata simu zake hata mwezi anakusumbua mpaka unapokea. utamkatalia kuja kwako mpaka unamficha kwako hamuonani mwaka bado hakuachi ngo.
Unayempenda anakuzingua kwa kuwa anajua unampenda kumwaacha huwezi. under review will be posted in a straight way soon