but why inakuwa hivo,ina mana kati yenu hakuna ambaye ni mbunifu wa trick mpya ya mapenzi?au kuzoeana?maana nadhani true love haina kikomo.
ikija kwenye mapenzi nachukulia
kama jiko la kuni huongezi kuni
mtoo una fifia na kufa kabisa..
Si dhani kama kuna msimu wa mapenzi
bali kadiri ya muda unapoenda mbele
mapenzi yanaweza pungua na yasiwe
kama ile siku ya kwanza mlipo kutana..
ndio maana watu hutafuta au
hujaribu kufanya vitu mbali mbali
kuepuka matatizo mbali mbali ya mapenzi ...