Heshima zenu wakuu.Nimekuwa nikisikia redioni kuhusu tangazo juu ya kampeni ya upuliziaji dawa ya ukoko ya kuua mbu waenezao ugonjwa wa maralia kwa wakazi wa kanda ya ziwa kwa mikoa ya Mwanza Mara Kagera na Shinyanga, swali langu kwa Wizara ya afya hivi ugonjwa wa maralia uko kanda ya ziwa tuu??????????