Hivi marekani wanaweza kubadili noti zao?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Wakuu najaribu kuwaza tu Maana hizi zimekuwa ni Kama hela za dunia
 
Wakuu najaribu kuwaza tu Maana hizi zimekuwa ni Kama hela za dunia
Nikijaribu kuwaza kuwa wataibadilisha nakosa majibu ya kwanini waibadilishe, ila huenda ikilazimika kufanya hivyo labda watabadilisha.
 
hawezi kuibadilisha na wala hatabadilisha. madhara yake ni makubwa sana. na itam-cost big time kiuchumi. pound ita take over. na hapo ndio itakua bye bye uchumi wa marekani
 
hawezi kuibadilisha na wala hatabadilisha. madhara yake ni makubwa sana. na itam-cost big time kiuchumi. pound ita take over. na hapo ndio itakua bye bye uchumi wa marekani
Hii $100 ya sasa hivi sio mpya? Au kubadilisha kupi mnakozungumzia.

Btw £ zimebadilishwa sana recently, € zimebadilishwa hata ukienda baadhi ya benki na € mpya unapata tabu.
 
Wanabadilisha sana tu.. Fuatilia. Rangi azibadiliki. Kuna vitu vinavyo badilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…