Hivi maridhiano ya chakwera yamefanyika lini vile ?

Nadhani alikuja tu kutalii. Hii ngoma bado mbichi. Muda wa usuluhishi haujafika.
 
Sio yale maridhiano tuu…hata ile kauli ya walio shtakiwa kwa kesi ya uhaini basi na wenyewe waachie…mpaka sasa holaa…Tafsiri yake nini? nilitegemea baada ya ile kauli hayatazidi masaa 24…wahusika watakuwa nje.,.Kuna makubwa sana nje ya Mh Samia…Kwa kifupi Tuliombee na Tujiombee sisi wenyewe…Safari yetu ni nzito sana sana…Mbele ni giza haswa…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…