Hivi Masanja Bado Ni Mlokole?

Jamaa ni Mlokole... anaombea watu wanapona vipofu wanaona viziwi wanasikia, viwete wanatembea .. na sa hivi yuko kwa OBAMA
Bongo Tambarare

huo mkutano utafanyika lini???
 
jama bado ni mjasilia dini,saizi ni nabiii ,waliopoteza matumaini wanapata tumaini jipya kwake,walio kataa tamaa wanaonywesha njia pia,pia anaombea wasio na kazi kupata kazi,wanaotaka gari etc,saizi yuko kwenye mchakato wa kujenga kanisa lake..ana trip ya kwa Joshua mwezi mmoja..akirudi huko ndio rasmi mkutano wake wa kwanza utafanyika kidongo chekundu umepewa jina LA TETEMESHA MAPEPO YOTE,MASANJA ANAPONYA
Stay tuned..mpaka maaskofu wataenda pokea uponyaji
 
What you wanna be when you grow-up,son?"Poropesa with high quality of abracadabra,dad"!That's ma boy!
 
la kuongezea yule msanii anaoigizaga kama mchungaji movie za bongo naye sasa hivi anatoa mapepo kiukweli ukweli
 
Huu wokovu wa sasa mi naona umekuwa wa kisasa sana
 
Hakuna mtu aliyeweza kucheza na akili za watu kama Babu wa Loliondo,,apewe degree ya ujasiriamali yule mzee.
 
Mlokole gani yule, ni msanii tu anasaka wake za watu kwenye matamasha uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…