Hivi ligi ya Ujerumani wataacha lini kutokuwa wastaarabu,mechi ya Borrusia Dortmund dhidi ya Freiburg imesimama kwa muda kisa vurugu za mashabiki kurusha vitu kwenye pitch.
Viwanja vyao tu vina fence Kwa ndani unaona tu hivi vichwa sivyo kidogo tu washaanza midadi...ni watu wenye midadi and very aggressive wakiamua kufanya Yao.