Watu wa mashindano ya magari ,pikipiki , kuteleza kwenye barafu kuruka kwenye ndege (sky divers), sea surfing....watu wote hao wenye passion za kufanya hivyo wana hulka moja tu nayo ni DAREDEVIL.
Maana yake ni kwamba kufanya michezo hatarishi ndio furaha yao.
Kila kitu ni passion na pia teknolojia imewezesha michezo isiowezekana hapo kabla kuwezekana .
Binafsi napenda michezo ya kuruka kwenye ndege na parachuti pamoja na air race