japo sijaupata vizuri tatizo laweza kuwa OEM
Kuna kompyuta zinakuwa installed na CD ya windows kutoka manufacturer kama HP, Dell. Acer, Toshba na sio CD ya Microsoft
sasa kompyuta ilokuwa isnatlled kwa CD ya windows ya HP inaweza kupata shida mtu anapotaka kutumia CD ya windows ya Microsoft japo zote zinaweza kuwa ni XP SP2