Hivi Masoud Kipanya na Musa Kipanya ni ndugu?

Hivi Masoud Kipanya na Musa Kipanya ni ndugu?

Masoud hawezi kuwa na ndugu ambaye jina lake la pili ni kipanya. Kwa kuwa hilo jina la kipanya anaitwa kutokana na katuni yake ya kipanya.
 
Wadau za jion naomba majibu ya hilo swali kwa wanaofahamu!!!
sio ndugu mussa kipanya ni mwanangu hatuna uhusiano na masoud kipanya ni majina tu na pia ni marafiki.
 
Msisahau huyo Masoud katokea mkoa wanaokua hao hao Panya.................. ila sijasema kama ni n dugu
 
Ni ndugu ila kipanya sio ukoo wao ni kile kikatuni anachokichora MASOUD
ndugu kama kuna kitu umekiona humu na hukijui chanzo chake usikurupuke tu na kujifanya unajua kila kitu.. MUSA NA MASOOUD ni marafiki tu hawana uhusiano wowote wa kindugu. MASOUD ni mtu wa kusini MUSSA ni MWANZA/TABORA
MUSSA FAMILY
 
Hili jambo mpaka leo halijapata ufumbuzi!
Masoud kaulizwa na Baruani Muhuza ktk "NYUNDO YA BARUANI", Masoud amekataa, hawana undugu! Ila ameweka wazi kuwa Mussa anamchukulia yeye kama role model wake!
 
Back
Top Bottom