Hivi Masoud Kipanya na Musa Kipanya ni ndugu?

Kama ukiwangalia kwa sura heatofautiani sana ndo maana umeuliza..... Ila wana JF wengi wanajifanyaga matajiri kisa wana faka ID badala wamjibu mtu kuwa sio ndugu wanaanza kujibu kwa majivuno kisa wamelalia mandazi na maji
 
Nilipata kumsikia masoud katk kipind cha BARUHAN MUHUZA kipind kinaitwa nyundo ya Baruhani Muhuza kipo azam TV masoud alisema hana undugu na Mussa kipanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanafanana, basi labda Dingilii alicheza faulo mahaki na ikabaki siri yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…