Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Kakuweka laudi spika na wengine wanakula chabo ya sauti.
Eti wewe zoba.
Duh! Labda ni hivyo, je wakiwa kama ni wawili tu hakuna mwingine zaidi hapo vipi?
Habari zenu wana-MMU?
Kuna kitu nataka nifahamu kuhusu hili sijui niite kasumba...
Yaani mtu(mwanaume) anawasiliana na demu kwa njia ya simu, demu anatengeneza mazingira ya mwanaume aongee zaidi kuliko yeye, mwanaume akimtegea demu aongee anakuwa kimyaa haongei mpaka mwanaume akimshtua ndo anajibu na kusema "Niambieee" ili mwanaume aongee.
Hivi hii inaashiria nini?
Sijui kama mmenipata...!
Kakuweka laudi spika na wengine wanakula chabo ya sauti.
Eti wewe zoba.
ikiwa mwanaume ndo anae anzisha mawasiliano , anawajibu wa kuongoza mazungumzo, sasa kama anaongea mambo ambayo siyo endelevu, basi huyu mwanamke hatakuwa na la kuongea.ataongea kuendeleza yale mpiga simu au mtuma ujumbe ameyaanzisha. hakuna kiashiria cha ajabu hapo. kama mwanaume anaona mwanamke haongei manake ni kuwa unavyoongea yeye hana uzoefu au havijui au hata havipendi kwahiyo ni ngumu kuchangia
A.Hana lakusema.
B.Unayoongea hayamvutii.
C. Anakuchora.
Chagua kati ya A,B,C au yote kabisa.

Mara nyingi akina dada kama wako kwenye mahusiano, na anamfeel jamaa hakosi cha kuongea. Tena ugomvi huanza pale anapotaka kukata simu maana bado una sweet nothings za kuongea afu yeye anakata. i doubt it eti sababu ni haelewi hayo mazungumzo
kama mwanamke anaanzisha mawasiliano na haongei, na mwanaume akianzisha haongei pia ,basi rudi upande mwingine ,je ktk hali ya kawaida huyu dada ni muongeaji? ana uwezo wa kuanzisha mazungumzo endelevu ( ice breaking ability)?, kama siyo muongeaji basi usimlaumu. lakini kama ni muongeaji ila anaanzisha halafu haongei , hapo kutakuwa kuna kitu anataka mwanaume mwenyewe akitamke bila ya ushawishi wa huyo mwanamke.Pamoja na mwanaume kuanzisha mawasiliano, hata wakati mwingine mdada anaanzisha mawasiliano mambo yanakuwa ni yaleyale! Hii ina maana kuna kasoro pale?
kama mwanamke anaanzisha mawasiliano na haongei, na mwanaume akianzisha haongei pia ,basi rudi upande mwingine ,je ktk hali ya kawaida huyu dada ni muongeaji? ana uwezo wa kuanzisha mazungumzo endelevu ( ice breaking ability)?, kama siyo muongeaji basi usimlaumu. lakini kama ni muongeaji ila anaanzisha halafu haongei , hapo kutakuwa kuna kitu anataka mwanaume mwenyewe akitamke bila ya ushawishi wa huyo mwanamke.
Anakuwa na simu ya pili anakurekodi ili baadaye apate kukusikiliza kirefu na kufurahia jinsi ulivokuwa unamwaga tenzi.
D. Usipige tena simuA.Hana lakusema.
B.Unayoongea hayamvutii.
C. Anakuchora.
Chagua kati ya A,B,C au yote kabisa.