Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
- Thread starter
-
- #21
Sasa tunafundishana kutongoza,mimi nadhani nimeshakutana na dizaini ya mwanamke kama huyo,huyo hamaanishi kitu chochote siajabu akawa anadharau sana na anakuchukulia simple ndio maana anafanya hivyo,sasa wewe ukiona hivyo then muage alafu usipige simu kama siku tatu au nne alafu uone itakuwaje,
huyo anataka kukujua jinsi ulivyo kupitia mazungumzo au text. Hiyo 'niambie' ni kama anashtua engine ili uendelee kuongea, azidi kukufaham na akuzoe. Wala usichukulie negative.
Wanaamini kwamba kile kimtokacho mtu kinywani mwake ndiyo moyoni mwake jinsi alivyo, ni psychology yao.
katika mahusiano mwanaume si muongeaji sana kama mwanamke hivyo kama mwanamke inakubidi ujue namna ya kucheza mwanaume..mwanaume huwa muongeaji sana pale mnapotokea kugombana au kukosana...
Kuna vitu anategemea kuvisikia na wewe huvisemi.......umpigia simu wewe then unataka yeye ndo awe leading speaker......na kama wewe ni engineer na yeye ni social worker kila ukipiga simu mambo yako ya kazini unaleta kwenye maongezi yenu......mara concrete mixer.....oonh damping level.....nilikuwa busy ku- set plates....jamaa aliyetoa B.O.Q hajaweka driller.....na mengine meengi...sasa hapo tegemea ukimya au hata kuwekewa muziki.......kama mstaarabu atakuambia fasta that hakuelewi.....watoto wa mujini ndo wanapiga kimya anakuweka loud speaker ye anaendelea na michongo yake......ukija na halooo anakupa nambieeee........ as na nyie baadhi ya wadogo zetu siku hizi hamjui kuongea basic, common and interesting topics ili naye awe active ni majigambo tuuuuu unaweza kuta
huyo jamaa anaweka
Ni kwa hisani ya mtu wa MMU na ufadhili wa JF
Kuna wadada wengine ukiwapigia simu,anajua kabisa unataka nini,lakini ataanza kukupa story za ofisini au shule.inaboa sana.Mi mtu wa namna hiyo,namtwanga live.
kama mwanamke anaanzisha mawasiliano na haongei, na mwanaume akianzisha haongei pia ,basi rudi upande mwingine ,je ktk hali ya kawaida huyu dada ni muongeaji? ana uwezo wa kuanzisha mazungumzo endelevu ( ice breaking ability)?, kama siyo muongeaji basi usimlaumu. lakini kama ni muongeaji ila anaanzisha halafu haongei , hapo kutakuwa kuna kitu anataka mwanaume mwenyewe akitamke bila ya ushawishi wa huyo mwanamke.