Wewe ni mzee lakini ni mjinga kwelikweli.Shida yako unadhani labda wakiwa na ukomo na wewe utapata nafasi, hakuna pambana umtoe, hata huko tunakojifunza democrasia hakuna ukomo kwa Mbunge
Mkuu mpaka wanijue lazima wavuke boda labda waanze na weewe huko!!Shida yako unadhani labda wakiwa na ukomo na wewe utapata nafasi, hakuna pambana umtoe, hata huko tunakojifunza democrasia hakuna ukomo kwa Mbunge
Bara la giza haswaThis is Africa.. Na hapa tuko bongo[emoji848][emoji2827]
Na ndiyo wanatunga sheria mbovu kulinda maslahi yao.Wewe ni mzee lakini ni mjinga kwelikweli.
Wabunge wa chama gani wanaofia kwenye ubunge kama si wa CCM?
Siku kukipambazuka tutawakuta wenzetu wako mweziniBara la giza haswa
Mkuu sisi acha tuendelee kunywa alkasusi ilitukomeshe akina mama majumbani. Mfumo mbovu wa utawala Africa ndiyo adui no 1, angalia nchi ina watu zaidi ya milioni 50 lakini inategemea mawazo ya mtu mmoja na siyo mawazo ya watu wengi.Siku kukipambazuka tutawakuta wenzetu wako mwezini
Big no tusipotoshe watu, RAS na DAS wanastaafu 60. OverWaziri, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa wilaya, DAS na RAS hawa hawastaafu. Huondolewa kwenye nafasi zao!
Mtela Mwampamba aliyekuwa DAS wa Kisarawe kastaafu lini?Big no tusipotoshe watu, RAS na DAS wanastaafu 60. Over
Utakuwa na shida kichwani wewe, tofautisha kustaafu na kutenguliwa, kwani alifikisha miaka 60? RAS, DED na DAS wakitenguliwa huwa wanapangiwa kazi nyingine kwenye utumishi mpaka watakapo fika umri wa kustaafu, pia elewa hata mhudumu wa ofisi anaweza kufukuzwa kazi kama ilivyo kwa DAS, RC na DC akitenguliwa hapangiwi kazi yoyote kwenye utumishi wa umma ndiyo maana hawakatwi PSSSF kama ilivyo kwa RAS na DAS na wala hawapo kwenye mfuko wa matibabu NHIF kama watumishi wengine.Mtela Mwampamba aliyekuwa DAS wa Kisarawe kastaafu lini?
Wanastaafu isipokuwa Mkuchika pekeeBado naendelea kujiuluza hilii swali jamani hivi mawaziri hawastaafu?