Hivi mawaziri wa michezo wako kwenye mgomo au?

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Tangu Taifa Stars iende AFCON sijaona waziri au naibu wake wakiongelea timu ya taifa au wamemuachia ukumbi mwenyekiti Bashite afanye yake? Kwani wao si ndiyo wenye hizo ilani za kutekeleza au wamepiga kimgomo kimya kimya kwa uoga?
 
Team ya taifa iko chini ya mtu Mmoja sahv!
Alafu jana nliskia RC akizungumza kuwa kuna watu wamechanga hela kwa ajili ya taiga stars na kuna ofisi fulani??hakuitaja Jina wamezila fedha na anazitaka,ofisi hyo haijaitaja Jina

Ova
 
Duh! Ina maana RC ameamua kumsaidia Waziri mhusika kufatilia hizo pesa za michango zilizotoweka?
 
Team ya taifa iko chini ya mtu Mmoja sahv!
Alafu jana nliskia RC akizungumza kuwa kuna watu wamechanga hela kwa ajili ya taiga stars na kuna ofisi fulani??hakuitaja Jina wamezila fedha na anazitaka,ofisi hyo haijaitaja Jina

Ova

Boss mrangi Na wewe hauijui hiyo Ofisi ???? !!!
Tutajie kwa Manufaa ya wengi ....
 
Ndo maana wakaamua kukodi kikundi cha ushangiliaji kwenda kuipokea cccmstaaz.
 
Mgawanyo wa majukumu.
Mzee amepima maji aliyojaribu kuyadiba mwenzie kipindi kile cha vuguvugu la uvamizi pale mawingu na jinsi alivyozama anaona ngoja kwanza yeye ni mkubwa kuliko hiyo wizara. RC amekuwa waziri asiye na wizara maalum
 
Tangu taifa stars iende afcon sijaona waziri au naibu wake wakiongelea timu ya taifa au wamemuachia ukumbi mwenyekiti bashite afanye yake? Kwani wao si ndiyo wenye izo ilani za kutekeleza au wamepiga kimgomo kimya kimya kwa uoga?
Wamemuachia kaimu raisi zero brain Bashite!
 
Mzee amepima maji aliyojaribu kuyadiba mwenzie kipindi kile cha vuguvugu la uvamizi pale mawingu na jinsi alivyozama anaona ngoja kwanza yeye ni mkubwa kuliko hiyo wizara. RC amekuwa waziri asiye na wizara maalum
Naam na kawa zaidi ya RC. Kama anatumwa mpaka Misri ilihali waziri wa Mambo ya Nje yupo
 
Itakuwa wamemsusia timu Bashite maana jama kimbele mbele sana
 
Back
Top Bottom