Kila mtu anapenda chakula yake. Mpendwa wa baba cheza nae kwa akili.Unataka yamkute ya MOZESI NNAUYE?
Ambaye kasema Manchester hata yenyewe haijachukua ubingwa wa mji wao kwa siku nyingi.Wamemuachia yule bwana mjuvi wa kila kitu, asiuyejua kila kitu anayeingilia mambo ambayo hayamuhusu
Duh! Ina maana RC ameamua kumsaidia Waziri mhusika kufatilia hizo pesa za michango zilizotoweka?Team ya taifa iko chini ya mtu Mmoja sahv!
Alafu jana nliskia RC akizungumza kuwa kuna watu wamechanga hela kwa ajili ya taiga stars na kuna ofisi fulani??hakuitaja Jina wamezila fedha na anazitaka,ofisi hyo haijaitaja Jina
Ova
@Wakudadavuwa , ukuje huku maana haya ndio mambo ya wewe kujadili sio umeng'ang'ania ushambengaMtoa mada asante Kwa kuliona hili...
Hapa kuna sinema inachekezeka nyuma ya pazia haiwezekani waziri mwenye dhamana awe kimya kiasi hiki
Akinyanyua mdomo against the so called RC kaishaMtoa mada asante Kwa kuliona hili...
Hapa kuna sinema inachekezeka nyuma ya pazia haiwezekani waziri mwenye dhamana awe kimya kiasi hiki
Mgawanyo wa majukumu.Duh! Ina maana RC ameamua kumsaidia Waziri mhusika kufatilia hizo pesa za michango zilizotoweka?
Team ya taifa iko chini ya mtu Mmoja sahv!
Alafu jana nliskia RC akizungumza kuwa kuna watu wamechanga hela kwa ajili ya taiga stars na kuna ofisi fulani??hakuitaja Jina wamezila fedha na anazitaka,ofisi hyo haijaitaja Jina
Ova
Mzee amepima maji aliyojaribu kuyadiba mwenzie kipindi kile cha vuguvugu la uvamizi pale mawingu na jinsi alivyozama anaona ngoja kwanza yeye ni mkubwa kuliko hiyo wizara. RC amekuwa waziri asiye na wizara maalumMgawanyo wa majukumu.
Wamemuachia kaimu raisi zero brain Bashite!Tangu taifa stars iende afcon sijaona waziri au naibu wake wakiongelea timu ya taifa au wamemuachia ukumbi mwenyekiti bashite afanye yake? Kwani wao si ndiyo wenye izo ilani za kutekeleza au wamepiga kimgomo kimya kimya kwa uoga?
Naam na kawa zaidi ya RC. Kama anatumwa mpaka Misri ilihali waziri wa Mambo ya Nje yupoMzee amepima maji aliyojaribu kuyadiba mwenzie kipindi kile cha vuguvugu la uvamizi pale mawingu na jinsi alivyozama anaona ngoja kwanza yeye ni mkubwa kuliko hiyo wizara. RC amekuwa waziri asiye na wizara maalum