Hivi mbona huyu Mandela hamumsemi jamani?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Haya kazi kwenu, Madiba kawakalisha hawa wake wote wawili katika kikao kimoja. Je imekaaje hii?

FOR28_SOUTH-AFRICA_0211_11.jpg

Winnie Madikizela-Mandela (L) sits beside her ex-husband, South Africa's former president Nelson Mandela (C), and his wife Graca Machel (R) at the gallery during the opening of Parliament in Cape Town February 11, 2010.
 
Note the body language, two worlds apart
 
Hapo Winnie kaona anapoteza ni heri akae karibu na jamaa huenda chati yake itapanda.
 
Acha ushamba, unataka watu wakiachana basi.. waende kwa waganga kulogana? Wameshare maisha yao na sivibaya wakawa marafiki... baada ya matatizo yote, wanafamilia pamoja. Unamtazamo wakale sana wewe..Kumbuka ni karne gani.
 
Huyu mama Winnie did alot to keep Mandela's spirit alive when he was in prison. Kama binadamu, tena wise, ni ngumu sana kuifuta historia yote kwa sababu tu ya weakness ya ex wife wake. Kitandani mambo yalishakwisha ila sio katika maisha ambayo watu hawa wawili walipitia. Muacheni jamani akae kama mheshimiwa. By the way, umri ule si inaweza pita hata miezi kumi "mzee" hajaamka hata siku moja, labda kwa viagra? Glaca anapata nini sasa zaidi ya kumuogesha na kumsaidia kumlaza?
 
Du hata hivyo age imetake toll hapo; jamani kuna picha za Winnie za recent zaidi ya hii?
 
Huyu mama Winnie did alot to keep Mandela's spirit alive when he was in prison. Kama binadamu, tena wise, ni ngumu sana kuifuta historia yote kwa sababu tu ya weakness ya ex wife wake. Kitandani mambo yalishakwisha ila sio katika maisha ambayo watu hawa wawili walipitia. Muacheni jamani akae kama mheshimiwa. By the way, umri ule si inaweza pita hata miezi kumi "mzee" hajaamka hata siku moja, labda kwa viagra? Glaca anapata nini sasa zaidi ya kumuogesha na kumsaidia kumlaza?

With no viagra ngoma juu tuu,huyo Madiba ni sport man no loose of energy till he die...acha ushabiki na kutangaza biashara za VIAGRA...by nature madiba yuko fit..Graca anapata kile roho pendezea yeye...
 
Mazee, hata mimi nakushangaa unaposema "wake" wakati clearly unajua mmoja ni ex.
 
Mandela namheshimu kwenye yote, lakini la kushindwa kumsamehe winnie sikubaliani naye! ameweza kuwasamehe wazungu waliomtia ndani kwa 27 yrs.
 
Mazee, hata mimi nakushangaa unaposema "wake" wakati clearly unajua mmoja ni ex.

I meant to say wanawake. samahani.

Hata kama ni ex, nd'o uwakilishe pamoja namna hii?
I was just asking.
 
Haya kazi kwenu, Madiba kawakalisha hawa wake wote wawili katika kikao kimoja. Je imekaaje hii?

FOR28_SOUTH-AFRICA_0211_11.jpg

Winnie Madikizela-Mandela (L) sits beside her ex-husband, South Africa's former president Nelson Mandela (C), and his wife Graca Machel (R) at the gallery during the opening of Parliament in Cape Town February 11, 2010.

Mkuu mimi sioni tatizo hapo hasa ukichukulia kwamba Winnie na Mandela wana historia ya muda mrefu na pia wana watoto na wajukuu pamoja hata kama wameachana kitambo sasa sioni tatizo lolote la wao kukaa karibu karibu hadharani.
 
Back
Top Bottom