Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Haya kazi kwenu, Madiba kawakalisha hawa wake wote wawili katika kikao kimoja. Je imekaaje hii?
Winnie Madikizela-Mandela (L) sits beside her ex-husband, South Africa's former president Nelson Mandela (C), and his wife Graca Machel (R) at the gallery during the opening of Parliament in Cape Town February 11, 2010.
Huyu mama Winnie did alot to keep Mandela's spirit alive when he was in prison. Kama binadamu, tena wise, ni ngumu sana kuifuta historia yote kwa sababu tu ya weakness ya ex wife wake. Kitandani mambo yalishakwisha ila sio katika maisha ambayo watu hawa wawili walipitia. Muacheni jamani akae kama mheshimiwa. By the way, umri ule si inaweza pita hata miezi kumi "mzee" hajaamka hata siku moja, labda kwa viagra? Glaca anapata nini sasa zaidi ya kumuogesha na kumsaidia kumlaza?
Mandela namheshimu kwenye yote, lakini la kushindwa kumsamehe winnie sikubaliani naye! ameweza kuwasamehe wazungu waliomtia ndani kwa 27 yrs.
Mazee, hata mimi nakushangaa unaposema "wake" wakati clearly unajua mmoja ni ex.