Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
😂😂😂 ila watuHayo maji mengine chupa kwanza zinakele kama nini sijui
[emoji23][emoji23][emoji23] ila watu
Wanaizid dewdrop )1. Brand Equty... super
2.Brand Loyalty..Super
3.Brand Reputation..Super
4. Brand management..no blabla
5.Packaging super
..what else is there!
Wamefanikiwa sana ktk hili la kutumia jina la Kilimanjaro
Nalog off
Hahahah, sahihi kabisa mkuu...Wanahitaj darasa kwenye brandingMkuu hivi hujawahi kupiga maji ya uhai au afya mara ile lebo ianguke yenyewe sijui gundi wanaweka ndogo, sasa maji gani unakunywa unashangaa lebo inaondoka na upepo wa feni
Ugomvi utakuwa mkubwa sana 😂Imagine mabalozi na wanadiplomasia kashika chupa ya Afya mara paa lebo ishaangukia documents zake hivi atatuelewa kama nchi kweli
Ugomvi utakuwa mkubwa sana [emoji23]
Nalog off
Aiseeee.Sasa maji yakiwa yanaisha chupa zinakelele sana
Aminia mkaldayoWanangu wa Hill
Dogo endelea na safari acha kupiga zogo na madereva wenzako hapo kwa mama ntilie. Kumbuka alfajir unatakiwa uwe mpakani KongoSasa maji yakiwa yanaisha chupa zinakelele sana
Maji matamu Sana . Huo uhai hayana yofauti ni viroba. Package na quality ya maji hayana mpinzani .Wanangu wa Hill