Hivi mbunge huyu wa Chadema hajampigia kweli kura Anne makinda?

Mods, fanyeni ukarabati kidogo kwenye hii picha ni kubwa sana.
Ila kweli inaonekana kampa kura yeke huyu.
 
upuuzi Jazzy bendi,
hili sio jukwaa la upuuzi .....
 
Angalia vidole vya Anna makinda vinaashiria mapenzi yake kwa chadema
 
hawa wabunge wa chadema inaonesha wanapenda kumbatiwa au kukumbatia maspika ?


jee wenyewe kwa wenyewe mkumbatio wao ukoje ?

na jee hii haioneshi kua hawa wako karibu zaidi na ccm kuliko cuf?
 
wanajuana zaidi ya hapo.na<!-- google_ad_section_end --> Huo mkumbatio
 
Kwani tunachagua Spika kwa kuangalia CHAMA au uwezo wake wa kufanya kazi za USPIKA?, Katiba ya CHADEMA inakataza kumpigia Kura mgpmbea asiye chama cha CHADEMA?
 
mara nyingi hua nakua mgeni hasa linapokuja suala la kuintapret picha:doh:
 
Kwani tunachagua Spika kwa kuangalia CHAMA au uwezo wake wa kufanya kazi za USPIKA?, Katiba ya CHADEMA inakataza kumpigia Kura mgpmbea asiye chama cha CHADEMA?

Ingekuwa kama unavyodai huyu mama wala asingegombea
 
Hawa marafiki tu wa karibu. Hukuna siasa hapo ni urafiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…