Hivi mchezaji akiingia uwanjani bila kuruhusiwa siyo kosa?

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Wajuzi wa sheria za soka naomba msaada wenu.
Leo kwenye Mechi Kati ya Kagera Sugar na Namungo mchezaji wa Namungo Hamis Faki ameingia uwanjani dakika ya 89 kuchukua nafasi ya mwenzake aliyetolewa. Lakini kilichonishangaza ni njia aliyotumia Faki kuingia uwanjani. Bila kupitia Kwa mwamuzi wa mezani (Fourth Official) baada tu ya kuona mwenzie katoka yeye akaingia bila kuruhusiwa na Mwamuzi mpaka alipogundiliwa na Mwamuzi wa Mezani Bi Lukyaa nawamuzi wa Kati akamwamuru atoke nje akaingie upya.
Sasa swali langu, huyu mchezaji hakustahili adhabu yoyote Kwa kuingia uwanjani bila kuruhusiwa?
 
... kuingia uwanjani. Bila kupitia Kwa mwamuzi wa mezani (Fourth Official) baada tu ya kuona mwenzie katoka....
Sasa swali langu, huyu mchezaji hakustahili adhabu yoyote Kwa kuingia uwanjani bila kuruhusiwa?
Sio ishu sana, anaweza akapewa kadi ya njano tu maisha yakaendelea
 
Mnyama Kapiga Mtu Tatu Bila Huko jombaaa..!
....achana na Trivials..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…