Hivi mchezo wa karata ulianzia wapi na ni nani mwanzilishi?

Michael Chairman

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
922
Reaction score
586
kalata ni mchezo maarufu sana hapa duniani ,kwa afrika mchezo huu hupendwa sana kuchezwa kwenye misiba , vijiwe , na hata kazini.
1. Ningependa kufahamu mchezo huu ulianzia wapi na nani mwanzilishi wa mchezo huu?
Na nini sababu ya kuanzisha mchezo huu?
 
mwanzo nilidhani karate kumbe kalata,lugha yetu pana sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…