Hivi mdada unajisikiaje?

FL1 just to ask you! kutokana na yaliyo mkuta Burn leo, Je nyieee wakina dada huwa mkituona sie wakina kaka katika hali gani nanyie huwa mwachanganyikiwa na sihujihisi duh kunani? hapa mbona sister huko anani tizama sana???

jethro shemeji yako yuko hapa mitaa hii na mida hii subiri baadae niibie nafikilia kuanza kuziporomosha sifa kumbe akawa nazo burn au wewe ikawa zali la mentali
 
kweli kikikaa wazi wazi hakuna mvuto tena

Kuna hii style ya watermelon,sehemu kubwa ya gauni/blouse ipo wazi kifuani. Yaani ukivaa ndio hivyo tena sehemu kubwa ya titi linakuwa nje, chuchu tu ndio zinasalimika. Na nyie wakaka inabidi muwe mnazuga kana kwamba hujaona kitu.
 
Hiyo itakuwa ngumu sana, kwa kawaida ua huvutia nyuki, hebu nisaidie binamu wangu pretty, kwako wewe matiti ni uchi au ni kiungo tu kama pua unaweza kuliacha wazi au kulisitiri usione tofauti?
 
. Na nyie wakaka inabidi muwe mnazuga kana kwamba hujaona kitu.

Utazugaje na unajua kuwa macho hayana pazia?
Unajua kitu kikisha kuwa na mvuto dah inakuwa balaaa ndo unakaza macho kama fundi saa.
 
Kuna hii style ya watermelon,sehemu kubwa ya gauni/blouse ipo wazi kifuani. Yaani ukivaa ndio hivyo tena sehemu kubwa ya titi linakuwa nje, chuchu tu ndio zinasalimika. Na nyie wakaka inabidi muwe mnazuga kana kwamba hujaona kitu.

Pretty yaa kuna style za uvaaji ila inabidi uangalie unavaa unaenda wapi na kwa makusudi gani kuvaa nguo zenye kuwasababishia watu mfadhaiko asubuhi namna hiyo ni hatari watu wanaenda job mtu unawajengea hisia za kutamani perfomance (kujingonoa kama mheshimiwa burn )
Kuna nguo za kwendea disco ,out ,na hata ukiwa na mzee ruksa kumvalia cause ni special kwa ajili yake na sio kwenye daladala jamani
 
Hiyo itakuwa ngumu sana, kwa kawaida ua huvutia nyuki, hebu nisaidie binamu wangu pretty, kwako wewe matiti ni uchi au ni kiungo tu kama pua unaweza kuliacha wazi au kulisitiri usione tofauti?

Matiti ni sehemu ya mwili inayohitaji kufichwa na sio kuachia achia kila mtu aone.
 
Hapo sawa, na wakiendelea na sisi tutashona chupi na suruali zenye tundu tuache kende zetu zinaning'inia tuone....just kidin'
 
Iwa nashindwa kuelewa utakuta dada au sister du anayaficha sana maembe hayo liwe dodo au embe uchungu analificha kweli kweli lakini akizaa tu maembe yanakuwa sio dili tena anaaanza kuyaanika ovyo ovyo wkt ananyonyesha anayaachia tu vp jamani tunashindwa kuelewa thamani ya titi inapungua ukisha zaa?
 
huo ugomvi ulioununua hapa sijui nani atakuja kuuzima, ngoja waje hapa kukushambulia mabinamu.
 
Hahahaha unajua mpwa wakiwa warembo iwa wanayaficha sana hasa chuchu lakini wakizaa wanajiachia wakati wananyonyesha.
 
Hapo sawa, na wakiendelea na sisi tutashona chupi na suruali zenye tundu tuache kende zetu zinaning'inia tuone....just kidin'

Oh...my...gosh!!!
watakimbia haooo, jicho mara moja tu hakuna wa kusimama, yaani itakuwa ni uuwiiii kichaaa!!
 
thamani ya titi haipungui tukizaa Fidel, INAONGEZEKA...
 
Oh...my...gosh!!!
watakimbia haooo, jicho mara moja tu hakuna wa kusimama, yaani itakuwa ni uuwiiii kichaaa!!

Nasikia kaharufu kama ka dada yangu hapo. Mchakato unaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…