Rudolph Hess
Member
- Sep 29, 2013
- 29
- 9
Wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu wanalazimikakufanya medical Examination wakati wanapojiunga. Hivi kwa uhalisia uliopo hivisasa kweli kuna mwanafunzi anayefanya hivyo vipimo vilivyoorodheshwa kwenye fomu?Na je kuna hospitali au daktari wa serikali kweli ambaye atampima mwanafunzihayo magonjwa yote zaidi ya kumuuliza kama ana tatizo aseme? Sasa kama uhalisiani huo kwa nini mwanafunzi yoyote mwenye ugonjwa wowote asi-tick ugonjwa alio naokwenye fomu na kama atahitaji msaada wa chuo aje na vyeti vya daktari kuthibitisha huo ugonjwa wake iliapatiwe msaada chuoni? Hizi formality nyingine ni kuongezeana mzigo tu kwamlala hoi. Ukienda hospitalini na hiyo fomu ya chuo daktari anakuuliza unaugonjwa wowote? Ukimwambia sina anakuambia basi ngoja nikujazie ilanitayarishie chochote kwa sababu ulitakiwa ukapime vipimo vyote ndio tukujaziemi nimekuonea huruma.
Mimi yamenikuta jana nilienda na hiyo fomu daktariakaniambie hivyo nikamuuliza itahitajika shilling ngapi? Akaniambia elfu 10,nikamwambia sina hela hapa nilipo nina buku tu la nauli, ngoja nikatafutenitakuja kesho. Akanirudishia fomu yangu, nikaangalia karatasi moja alilokuwa nalomgonjwa lenye muhuri nikaupiga picha kwa simu, nikatoka nje nikamwonyeshamchonga mihuri akaniambia nimpe buku 7 anichongee nikampa buku 5 akanichongeajana hiyo hiyo nimewagongea washikaji zangu karibu 20 kwa buku buku (mchango wamafuta). Muhuri wenyewe unasomeka( MGANGAMKUU HOSPITALI YA MKOA _______!!!!)
Point niliyotaka kuisema hapa ni kuwa formality nyingineinabidi huku vyuoni wazi-review maana hazina maana katika karne ya saa hizi.Kama vyuo vyetu ambavyo ndio vinawafundisha wasomi wetu kuangalia kilajambondani na nje ya box (critical thinking), wakati hivyo hivyo vyuo vinaendeshamambo kwa mazoea bila ku-review mifumo yake kama ni compatible na nyakatitulizo nazo, no wonder every graduate is looking for employment. Vyuoni wamejaawasomi wa kukariri notice za walimu na ndio hao hao ma-administrators ndiomaana ndio maana hawajisumbui kuangalia kama procedures and regulation zilizopozina-serve the intended purpose kwa wakati tulionao.