Hivi meli ilishaanza kujengwa na MV Victoria ukarabati umefikia wapi au zilikuwa swaga kama zilizozoeleka?

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
12,037
Reaction score
17,212
Mwenye kujua ujenzi wa meli mpya ya kisasa umefikia wapi atujulishe na ukarabati wa MV Victoria na Serengeti umefikia wapi maana mkulu alisema December mkataba unasainiwa na ujenzi kuanza ifikapo January je kuna hatua yoyote iliyopigwa?tumechoshwa kudanganywa kwa miaka ishirini sasa
 
2d930d50b1b6b3d990360d76cb24be95.jpg

Halafu hiki kivuko baba ubaya ameenda kukificha wapi maana kwenye ufukwe wa D, salaam na Bagamoyo siioni?!
 
Hii kashfa ingekuwa kwa mtu mwingine angetumbuliwa kwa mbwembwe balaa, tungeambiwa ndio ametufikisha hapa! Tungeambiwa mtu ana PHD lakini anaenda kusaini kivuko kibovu tena kwa gharama mara 2 zaidi! Ila sasa kimyaaaaaaaa, ila hapa jamaa kapata aibu sana. Siku akikubaliana na ombi la baba askofu Kakobe hili nalo asije akasahau kuliombea msamaha wa dhati kabisa.
 
Hahahaha ingekuwa mwingine angetumbuliwa kwa mbwembwe nyingi sio!!!
 
WATU WENGNE BWANA? MAPATO YAMESHUKA HADI 85% YA TARGET HAAFU WEWE UNAFIKILIA UJENZI WA MERI. KWA TAARIFA YAKO HATA BOMBARDIER TUMESHINDWA KUIKOMBOA HIVYO NIMESIKIA ITAUZWA

Back
Top Bottom