Uchaguzi 2020 Hivi Membe anafanyia kampeni zake wapi?

Uchaguzi 2020 Hivi Membe anafanyia kampeni zake wapi?

AKILI NDOGO NDIO ITAMBEZA MEMBE!!YEYE NDIO ATAKUWA RAISI BAADA YA MACHAFUKO NA JIWE KUSHINDWA UCHAGUZI KUONDOLEWA MADARAKANI NA LISU!!!
 
Daah Membe amepotea kabisa katika siasa,nadhani anajuta anaona bora angebaki kimya tu
 
..Membe ni mtu wa system na anafanya kampeni kwa kutumia system.

..nyinyi hangaikeni kula mavumbi, kupigana vikumbo na polisi, mtakuja kushangaa Membe anaibukia Magogoni, au Chamwino.

cc Nyani Ngabu
 
Membe na pengine wa timu roho mbaya walikosea magazijuto yao, kwanza alikuwa ni mwali aliye kuwa kawekwa/ kufichwa ndani huko kusini kwa kipindi hiki cha miaka 5 ya JPM. Walitegemea silaha ya propoganda ndio yale ya cga na upotoshaji juu ya zao la korosho. Hakutegemea kule kusini kuhutubia podiamu na dereva wake tu.
 
Membe yuko na Lissu..... sema msajili wa Vyama amewafunga vinywa hakuna vyama kushirikiana.
 
Back
Top Bottom