Hivi Messi ni bora kuliko Pele, Maradona, Zico, Platini?

Hivi Messi ni bora kuliko Pele, Maradona, Zico, Platini?

mzee wa liver

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
83,441
Reaction score
431,885
Wadau jana kwenye mechi ya fainali ya UEFA Champion nilimsikia mtangazaji wa mechi hiyo kutoka Berln kwamba amebahatika kuwaona wachezaji hao wote kwa kipindi chote lakini bado anaamini Messi ni bora zaidi.
 
king messi
 

Attachments

  • 1433704399584.jpg
    1433704399584.jpg
    34.2 KB · Views: 585
king leo MESSI
 

Attachments

  • 1433704483808.jpg
    1433704483808.jpg
    9.2 KB · Views: 506
Ni vigumu kulinganisha moja kwa moja watu waliocheza era tofauti ila kwa era yake ni bora zaidi. Kwa kuwa msemaji kawashuhudia wote na katoa mtazamo wake nadhani yupo sahihi
Asante mkuu
 
Messi mpuuzi tu. Cristiano Ronaldo ndo mchezaji bora kuwahi kutokea kwenye histolia ya mchezo wa soka .
 
Messi mpuuzi tu. Cristiano Ronaldo ndo mchezaji bora kuwahi kutokea kwenye histolia ya mchezo wa soka .

Fuatilia takwimu utakuja na jibu sahihi, usiendeshwe na ushabiki mkuu.
 
hamna haja ya kuuliza swali angalia tena mechi ya jana baada ya hapo majibu unayo.
 
"In my opinion Messi is the greatest player of all
time, better than the likes of Maradona, Pele,
Ronaldo or even the Brazilian Ronaldo. He plays at
such a high level so consistently.. even in the
biggest matches I dont think Ive ever seen a more
decisive player" - Phil Schoen (CL final 2015)
 
Buffon anakiri "Messi ni kiumbe wa sayari nyingine anaecheza soka na sisi wanadamu!"
ni vigumu mno kuwalinganisha watu wa zama tofauti, soka limebadilika sana, aina ya wachezaji, uchezaji, na hata sheria soka pia zimebadilika
 
kwenye soka la kupima mafanikio messi kamzidi pele pengine. analipwa mamilioni ya dola na heshima ndani ya Barcelona.

rudi nyuma kidogo Tazama Ronaldinho anacheka huku anapiga mtu tobo, anazungusha mguu wake kisha kama kasahau mpira anaenda mbele beki anamfuata na kujikuta kala bonge la kanzu...

rudi kwa Zidane angalia skills alizokuwa nazo

Ronaldo de lima angalia the way anaweza kukuinua kwenye benchi la kibanda umiza akifinya mtu...

mtazame pele vizuri kisha usisome gazeti la the sun wala kusikiliza hadithi za sky sports... tafakari wewe binafsi uone yupi bora...

dunia ya leo mpira ni biashara ndefu tofauti na zama zilizopita.. kwa neno messi ni bora kuliko woote watu wanapiga hela kwenye mikataba kila siku.. messi kacheza zama za mpira wa sheikh Mansour na waarabu wa psg.. zama za mpira dili mpaka wasioupenda wanamiliki timu.. wapige hela.. zama za magazeti na mitandao ya kijamii.. zama za kupewa promo
 
Back
Top Bottom