mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Asante mkuuNi vigumu kulinganisha moja kwa moja watu waliocheza era tofauti ila kwa era yake ni bora zaidi. Kwa kuwa msemaji kawashuhudia wote na katoa mtazamo wake nadhani yupo sahihi
Messi mpuuzi tu. Cristiano Ronaldo ndo mchezaji bora kuwahi kutokea kwenye histolia ya mchezo wa soka .
Messi mpuuzi tu. Cristiano Ronaldo ndo mchezaji bora kuwahi kutokea kwenye histolia ya mchezo wa soka .