Hivi Messi wa miaka ya 2008 na Neymar wa sasa nani ana skills

Mfananishe messi wa 2012 na neymar wa 2017 hapo utaeleweka!
 
Unamkosea sana huyu kiumbe. Yani unathubutu kumfananisha na sharobaro??? Au unamkusudia Messi wa mchangani!!!!

Atasubiri mno. Siku anastaafu ndio ajipange upya kufukuzia ballon ata mara moja katika soka lake la ubabaishaji.binafc Naamini dybala ndie atakuja kuwika after Messi.
 
Sasa matusi ya nini usilazimishe unachokipenda wewe na wengine wakipende be smart
Smart kwa mkeo. Usitulazimishie ukuda wako. Huwezi fananisha mataputapu na Heineken. Walau Gaucho ila siyo mauchafu hayo kuwa makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…