mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Kuna methali nimeisikia tangu utotoni lakini ukweli ni kwamba sijui maana yake wala inatumika katika mazingira gani,Hivi wana JF mnaweza nifasiria hii methali na kunipa matumizi yake?Ganda la muwa la jana,chungu kaona kivuno!Hapa mimi simjui chungu wala kivuno!!