ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kiuhalisia huyu mmiliki wa jamii forum aliyepelekwa mahakamani na Meko ana nguvu na ustahimilivu wa Hali ya juu kushinda hata wa jobu ndugai, amefanya jamii forum kuwa platform huru sana na ameokoa wengi kutokushughulikiwa. Kama mexence angeweka tumbo lake mbele wanajamii forum wengi wangekuwa kwenye viroba mto msimbazi.
Tunahitaji watu Kama wewe Mello, umewaokoa wengi lakini umelinda brand ya jamii forum, madudu mengi yameibuliwa humu na Kama ungeamua kuwachoma wangeshughulikiwa vilivyo na jamiii forum ingepoteza credibility.
Nikwambie Mello hata CCM wasiporidhika na maamuzi yao huwa wanakuja kutapikia huku lakini unawabeba Kama wanao na umewaokoa wasifukuzwe uanachama.
Japokuwa moderator wako wengine wanahongwa na Ccm lakini overall ur d winner.
Nitakupa dada zangu na ndugu zangu wote wa kike Kama heshima.
Na kama uspika unatolewa na Wananchi basi bila shaka ungeshinda Ila ccm sijui.