Hivi mfungwa akifanya tena kosa kubwa akiwa magereza hukumu yake inakuwaje tena

Mfungwa akifanya kosa la jinai akiwa jela atapelekwa tena mahakamani kushitakiwa,kama lina dhamana hakimu atamwambia kuwa shitaka lako lina dhamana,lakini kwa kuwa unatumikia kifungo utabaki ndani mpaka kesi yako itakapo hukumiwa
 
Kwani hawezi pewa kifungo cha nje ndani ya dhamana?
 
akifanya kosa lingine anapelekwa mahakamani na ushahidi ukikamilika na kuonekna ana kosa basi anaukumiwa kulingana na kosa alilofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…