johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Taasisi ya Bavicha imewahi kuongozwa na wafuatao:
1. Freeman Mbowe Kwa Sasa ndiye Boss mkuu wa Chadema
2. Zitto Kabwe Kwa Sasa Mshauri mkuu wa ACT wazalendo
3. John Heche Kwa Sasa Mgombea umakamu Mwenyekiti wa Chadema
4. Patrobas Katambu Kwa Sasa Naibu Waziri
5. John Pambalu ni Mwalimu huyu
6. Juliana Shonza Kwa Sasa ni mbunge
Ina Maana Viongozi wote hawa walishindwa kubuni hata Mradi wa Kiosk tu?
Angalia wenzenu UVCCM Miradi kila mkoa tena mikubwa mikubwa ikiwemo Jengo kubwa la kitegauchumi pale Morogoro road
ACHA tu mlazwe Kwenye mitaro hamna ubunifu
Mlale unono 😂