johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuajiri walimu ambao wanatumika kuiba kura za uchaguzi mkuu.Tutajie miradi ya UVCCM unayoifahamu?
Hujaona huo mfano hapo juu au nikuongezee na Vijana Social Kinondoni πππTutajie miradi ya UVCCM unayoifahamu?
Ukaishia wapi? ππNasikia walikuwaga na mradi bagamoyo kule kuelekea sadani.
Kuifananisha ccm na vyama vya upinzani ni ukosefu wa akili.Hujaona huo mfano hapo juu au nikuongezee na Vijana Social Kinondoni πππ
Ccm wezi miradi waitoe wp?Taasisi ya Bavicha imewahi kuongozwa na wafuatao:
1. Freeman Mbowe Kwa Sasa ndiye Boss mkuu wa Chadema
2. Zitto Kabwe Kwa Sasa Mshauri mkuu wa ACT wazalendo
3. John Heche Kwa Sasa Mgombea umakamu Mwenyekiti wa Chadema
4. Patrobas Katambu Kwa Sasa Naibu Waziri
5. John Pambalu ni Mwalimu huyu
6. Juliana Shonza Kwa Sasa ni mbunge
Ina Maana Viongozi wote hawa walishindwa kubuni hata Mradi wa Kiosk tu?
Angalia wenzenu UVCCM Miradi kila mkoa tena mikubwa mikubwa ikiwemo Jengo kubwa la kitegauchumi pale Morogoro road
ACHA tu mlazwe Kwenye mitaro hamna ubunifu
Mlale unono π
Ndio sababu nikasema Bavicha hamna hata Kiosk tu cha kuanzia?Kuifananisha ccm na vyama vya upinzani ni ukosefu wa akili.
Asset nyingi zinazomilikiwa na ccm ikiwemo viwanja vya mpira na mashule ni mali za umna, serikali ilipaswa kuvitaifisha ulipoanza mfumo wa vyama vingi.
Sasa Wewe uko maporini Kwa Wanyiha utajuaje mambo ya Mjini Kinondoni? πππWewe Mzee muongo muongo sana.Zitto Kabwe alikuwa na nafasi gani BAVICHAππ
Chini ya Mbowe kulikuwa hakuna ubunifu wowote, zaidi ya maamuzi yoye kutoka kwake mramba asaliTaasisi ya Bavicha imewahi kuongozwa na wafuatao:
1. Freeman Mbowe Kwa Sasa ndiye Boss mkuu wa Chadema
2. Zitto Kabwe Kwa Sasa Mshauri mkuu wa ACT wazalendo
3. John Heche Kwa Sasa Mgombea umakamu Mwenyekiti wa Chadema
4. Patrobas Katambu Kwa Sasa Naibu Waziri
5. John Pambalu ni Mwalimu huyu
6. Juliana Shonza Kwa Sasa ni mbunge
Ina Maana Viongozi wote hawa walishindwa kubuni hata Mradi wa Kiosk tu?
Angalia wenzenu UVCCM Miradi kila mkoa tena mikubwa mikubwa ikiwemo Jengo kubwa la kitegauchumi pale Morogoro road
ACHA tu mlazwe Kwenye mitaro hamna ubunifu
Mlale unono π
Acha dharau zako Mzee.Sasa Wewe uko maporini Kwa Wanyiha utajuaje mambo ya Mjini Kinondoni? πππ
Nakumbuka walipakaziwa wanajifunza kungfuu na uharifu. πππUkaishia wapi? ππ
Makurunge kule
Labda ndio Chanzo cha Ile KESI ππNakumbuka walipakaziwa wanajifunza kungfuu na uharifu. πππ
Miradi ya CCM ni urithi kutoka TANU Bwasheee.Taasisi ya Bavicha imewahi kuongozwa na wafuatao:
1. Freeman Mbowe Kwa Sasa ndiye Boss mkuu wa Chadema
2. Zitto Kabwe Kwa Sasa Mshauri mkuu wa ACT wazalendo
3. John Heche Kwa Sasa Mgombea umakamu Mwenyekiti wa Chadema
4. Patrobas Katambu Kwa Sasa Naibu Waziri
5. John Pambalu ni Mwalimu huyu
6. Juliana Shonza Kwa Sasa ni mbunge
Ina Maana Viongozi wote hawa walishindwa kubuni hata Mradi wa Kiosk tu?
Angalia wenzenu UVCCM Miradi kila mkoa tena mikubwa mikubwa ikiwemo Jengo kubwa la kitegauchumi pale Morogoro road
ACHA tu mlazwe Kwenye mitaro hamna ubunifu
Mlale unono π
Polisi waome mradi wa bavichq wauache?Taasisi ya Bavicha imewahi kuongozwa na wafuatao:
1. Freeman Mbowe Kwa Sasa ndiye Boss mkuu wa Chadema
2. Zitto Kabwe Kwa Sasa Mshauri mkuu wa ACT wazalendo
3. John Heche Kwa Sasa Mgombea umakamu Mwenyekiti wa Chadema
4. Patrobas Katambu Kwa Sasa Naibu Waziri
5. John Pambalu ni Mwalimu huyu
6. Juliana Shonza Kwa Sasa ni mbunge
Ina Maana Viongozi wote hawa walishindwa kubuni hata Mradi wa Kiosk tu?
Angalia wenzenu UVCCM Miradi kila mkoa tena mikubwa mikubwa ikiwemo Jengo kubwa la kitegauchumi pale Morogoro road
ACHA tu mlazwe Kwenye mitaro hamna ubunifu
Mlale unono π
Wana akili za kutumia tu hawana za kuzalisha, ,Taasisi ya Bavicha imewahi kuongozwa na wafuatao: