Hivi Michael Jackson alikuja Tanzania na kugoma kushuka uwanja wa ndege na kusalimiana na Mzee Mwinyi kisa Tanzania hewa yake ni chafu?

Hivi ni kweli alibadili pua?
 
M
Mbona kwenye wimbo wa Earth Song kuna picha zinaonesha mbuga ya Serengeti na Manyara
 

If there is fake news; imagine how bad the history has been distorted.
 
M

Mbona kwenye wimbo wa Earth Song kuna picha zinaonesha mbuga ya Serengeti na Manyara

Ilichukuliwa Tanzania; ile sehemu ya Elephants na forest

MJ alikuwa anaipenda sana Africa

Wengi wanadhan MJ alikuwa anajichubua but uzushi mtupu

MJ had skin disorder, Virtiligo , skin disorder that destroys pigmentation

Hizo story kuwa aliona TZ chafu ni story za Chadema na Tundu Lissu
 
Ila reality dar ina hewa nzito... nakumbuka 2018 nilivyoingia hili jiji nilipofika Bagamoyo nilipokelewa na hewa nzito kama ya mvuke wa maji ya moto wenye harufu ya shombo la samaki nikajua sasa nimeshaingia Dar.... Ni ngumu kuelewa kama hujawahi kukaa nje ya Dar kwa muda mrefu alafu ndo itokee unakuja tena utanielewa.
 
Reactions: apk
Vipi kuhusu habari ya popobawa zilikuwa na ukweli au nayo ilikuwa fix tuu
 
Ww jamaa utakuwa una matatizo ya akili, yn moshi wa kukaanga samaki utoke ferry hadi airport Na ww unaamini kweli.?
Afu unaweza kuta ety na ww n mama wa familia na wanakutegemua ๐Ÿ—‘๏ธ
 
Hajawahi kutoa kauli hiyo ety kuna harufu mbaya, MJ alienda mbugani. acheni useng3
Hayo mambo ya kushika pua na kuziba pua na mdomo hy ni kawaida yake hata ukiwa kwake, alishawahi kuhojiwa na kusema kuna muda pua yake inamkosesha uhuru kutokana na operesheni
Vipi kuhusu habari ya popobawa zilikuwa na ukweli au nayo ilikuwa fix tuu
Popobawa ni chai tuu hakunaga hizo ishu
๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚ pale huwa napita kwa kukimbiaa, sijui huwa pananuka nini aiseee

Lakini kuna watu pale muda wote wamekaa comfortably kabisaa Duuhh

Harufu kaliiiiii balaaa
Sasa pale ferry pana harufu gn mbaya ad mwanaume mzima uanze kukimbia.? Nyie ndo mkiitwa upinde mnaanza kukasirika
 
Hy haina tofauti na ile story ya wanafunzi wa kike kumbaka mlinzi wa shule, zote hizo ni chai tuu
 
Nijuavyo: MJ aliwahi kufanya 'surgery' ya uso wake na kubadili muonekano; sasa inasemekana joto la Dar lilimuogopesha na kuona kama pua inamomonyoka. Na pia MJ pamoja na umaarufu wake lakini alikuwa na uso wa aibu, hivyo alizoea kushusha kofia chini kuziba macho. Jambo dhahiri alilogoma kule KIA ni kupanda ndege ndogo kwenda mbugani kurekodi, maana alitegemea kuwa angetumia ndege kubwa. Badala yake 'crews' wake ndiyo walienda yeye alibaki hotelini.
 
Pale Ferry mpaka sasa ukifika harufu ni mbaya sana
Ile harufu huwa inanikumbusha kpnd nipo chuo miaka hioo nilikula papuchi ya mtoto mmoja wa uswahilini huko uzaramoni baada ya kumuhonga buku. Aisee ile nyapu ilikua inatema kama hako ka harufu ka hapo feli. Na sijui pale posta kuna jini gn, ile harufu huwa haivuki maeneo hayo ukiwa posta kuna hewa safi sana unless madogo wa IFM wawe wanakatiza. Soge ferry sasa, utakimbia
 
Ile harufu ya Ferry ndo naendaga kufanya warm up kabla sjainua simu kupiga telegram
 
Harufu ya amonia na phosphorous.Ni harufu maalum za maeneo ya bahari na wala sio mbayo.
Watu wa kuja Dar ndio huwa wanaisikia kwa mara ya mwanzo wanaona ni mbaya.
Acha uongo. Nimetembea nusu ya pwani za afrika, hakuna harufu kama mnuko wa ferry pale. Yaan ni kama kitilapia kilichokubuhu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ