Nimejiuliza maswali mengi kuliko majibu, kwa vile hapa JF kuna kila aina ya wanataaluma, hasa wana sayansi na wainjinia , naomba majibu ya maswali haya;
Hivi kuna nini mikocheni, kila redio itangazie kutokea hapo?
Angalia redio zenyewe ni,
-Prays power
-Clous fm
-Mlimani Redio
-TBC taifa
-Redio one nk
Zote hizi zinatangazia kutoka mikocheni, kuna nini huko?
Kinachonishangaza ni hiki, TBC wana ofisi zao nyerere rd na bado wanalazimika kujiunga na mikocheni?,Is the high income class locality for locals thatis closer to the city! Masaki O'bay Ada na Upanga panatisha interms of price for land and rental price! Isitoshe bado viwanja vinapatikana na baadhi ya maeneo ni industrial!
Kinachonishangaza ni hiki, TBC wana ofisi zao nyerere rd na bado wanalazimika kujiunga na mikocheni?,
Pia Mlimani redio wana ofisi zao UDSM lakini wanatangazia mikocheni,
Kama haitoshi Prays power wanayo maeneo sehemu nyingi zinazomilikiwa na st mary (Dr Lwakatare) lakini kaziacha zote hizo na kwenda mikocheni,
Nafikiri kuna kitu cha ziada mikocheni sio suala la bei tu, wataalamu wa kisayansi wanisaidie kujua hili.
Nimejiuliza maswali mengi kuliko majibu, kwa vile hapa JF kuna kila aina ya wanataaluma, hasa wana sayansi na wainjinia , naomba majibu ya maswali haya;
Hivi kuna nini mikocheni, kila redio itangazie kutokea hapo?
Angalia redio zenyewe ni,
-Prays power
-Clous fm
-Mlimani Redio
-TBC taifa
-Redio one nk
Zote hizi zinatangazia kutoka mikocheni, kuna nini huko?
Kinachonishangaza ni hiki, TBC wana ofisi zao nyerere rd na bado wanalazimika kujiunga na mikocheni?,
Pia Mlimani redio wana ofisi zao UDSM lakini wanatangazia mikocheni,
Kama haitoshi Prays power wanayo maeneo sehemu nyingi zinazomilikiwa na st mary (Dr Lwakatare) lakini kaziacha zote hizo na kwenda mikocheni,
Nafikiri kuna kitu cha ziada mikocheni sio suala la bei tu, wataalamu wa kisayansi wanisaidie kujua hili.
And what is the problem with the location??
Ujumbe unwafikia watanzania hauwafikii??
Mikocheni kwa TBC ni studio kama kama yalivyo mashirika mengine ya utangazaji duniani, kuwa na studio zaidi ya moja na mahali tofauti. Mitambo ya kisasa ya kurushia matangazo esp ya Tv imefungwa mikocheni si nyerere rd.
Mikocheni ndio lilipo kanisa la Mh. Mch. Mkurugenzi wa shule za St. Marys, Dr. Getrude Lwakatare.
Sio TBC1 (TV) ila ni Redio, ukitaka kuakikisha sikiliza kipindi cha mchana huu kinarushwa kuanzia saa 7.00 hadi saa 7.30, utasikia mtangazaji wa zamu akisema `sasa tunajiunga na studio zetu za mikocheni kuwaletea kipindi cha mchana huu`,
Shule za st Mary`s zipo kila sehemu ya Tanzania, kwanini asiweke mbagala ambapo kuna eneo kubw sana?
Na vipi redio mlimani, morning star Redio one nk? ziwe mikocheni?
Kama sababu ni hiyo, basi walio karibu na makanisa wakae tayari kubomolewa maana station nyingi za redio zitataka kujenga karibu na hayo makanisa ili kupata baraka na kuondolewa pepo.Sikatai mkuu lakini ukweli ni kwamba kwa TBC kwa ujumla mitambo mingi ya kisasa ipo mikocheni though ipo na ya nyerere rd, bt ni ya zamani (analog)
Karibu na kanisa mkuu, kituo kinapata baraka zote na kutoa pepo!
Bt usiumize kichwa sana, it may be just coincidence!
tehe tehe teheIam proud of Yo Yo's presence.