Hivi mikopo ya TALA imefia wapi?

Hivi mikopo ya TALA imefia wapi?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!

Enzi nikiwa chuo kulikuwaga na kampuni inaitwa Tala, yaani ukijaza form yao tu, wanakupa pesa. Washikaji zangu wengi walikopa ila wengi hawakurudisha.

Huyu jamaa amekuja na wazo zuri ila kwa Waafrika asili yao sio waaminifu, nina imani huo mpango kwa Wazungu ingefanikiwa kwa asilimia 100.
 
Nina hela yao sasa pa kuirudishia sipaoni.sijui walisamehe ?? Ila ilikuwa the best online credit app.hata mimi huwa nawamiss.yaani shida ya laki laki mbili ulikuwa husumbuani na watu mjini.
I miss you tala .forever in my heart
 
Nimeimiss mno
 
Uliwadhulumu siyo [emoji1]

Ova
 
Back
Top Bottom