Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Nimeimiss mnoHapo vip!!
Enzi nikiwa chuo kulikuwaga na kampuni inaitwa Tala, yaani ukijaza form yao tu, wanakupa pesa. Washikaji zangu wengi walikopa ila wengi hawakurudisha.
Huyu jamaa amekuja na wazo zuri ila kwa Waafrika asili yao sio waaminifu, nina imani huo mpango kwa Wazungu ingefanikiwa kwa asilimia 100.
Uliwadhulumu siyo [emoji1]Nina hela yao sasa pa kuirudishia sipaoni.sijui walisamehe ?? Ila ilikuwa the best online credit app.hata mimi huwa nawamiss.yaani shida ya laki laki mbili ulikuwa husumbuani na watu mjini.
I miss you tala .forever in my heart
Hapana mkuu.nilivotaka kulipa ile app ikawa inagomaUliwadhulumu siyo [emoji1]
Ova
Wapelekee TRAHapana mkuu.nilivotaka kulipa ile app ikawa inagoma
Kwani ndo walinipa mkuuWapelekee TRA
Hawa tala hawakufilisika mkuu sio kwamba watu hawakurejeshaWatanzania wengi wako CRB