kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Wakuu mke wangu anatapika tapika nini dawa ya hii kitu..? She has pregnancy not more than 2 months
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hongera naona juhudi za serikali ya awamu ya 5 .Wakuu mke wangu anatapika tapika nini dawa ya hii kitu..? She has pregnancy not more than 2 months
Wakuu mke wangu anatapika tapika nini dawa ya hii kitu..? She has pregnancy not more than 2 months
Hongera. Wanaume wengi siku hizi mpaka vumbi la congoWakuu mke wangu anatapika tapika nini dawa ya hii kitu..? She has pregnancy not more than 2 months
Ndg umeelewa au hukuelewa. English nini ndg yangu hadi umkomalie hivyo.. Wazungu wakikosea kuongea kiswahili mnawapigia makofi. Mbongo mwenzio akosee kidgo tu tutamshikia bango. Acha kuwa mtumwa wa kifikra....Nashauri usingeandika kiingereza bro, umesoma st Joseph nini?
Thanks GOD nilibeba mimba sijawahi Kutapika hata siku moja. Wala kichefuchefu [emoji119]
Pole mwambie asikae na njaa mda mrefu
[/QUOTE
Kukiri kubeba mimba hadharani ni kukiri kudinywa sirini na mwanaume
Kukiri kudinywa au kukiri kudinya...?Uzi wa kukiri kudinywa
Wakinadada wanatoa experience ya kichefuchefuKukiri kudinywa au kukiri kudinya...?
Yaah..!! Njia nyepesi ya kuepuka ni baba mtarajiwa kupata muda mwingi wa kukaa na mamaa na kuchezea tumbo, Mtoto alie tumboni hufurahia na kumpa mama mtarajiwa furaha muda wote , kichefu chefu hakitampata kabisa..!!Wakinadada wanatoa experience ya kichefuchefu
"she has pregnancy more than two months" okay sikulaumu ila hiyo shule ya kata Chato ndio shida na ccm mliyoichagua kila uchao.Wakuu mke wangu anatapika tapika nini dawa ya hii kitu..? She has pregnancy not more than 2 months