Hivi mimba changa kutapika nini dawa yake.?

Kwa akili zako mtu anaweza pata mimba bila mwanaume. Una mapepo wewe.
Gwajima akuombee [emoji23][emoji23]
Kwahiyo mwanamke anafanywaje na mwanamme mpk anapata mimba
 
Kwa akili zako mtu anaweza pata mimba bila mwanaume. Una mapepo wewe.
Gwajima akuombee [emoji23][emoji23]
anapandikiziwa, yaani mwanaume mwengine anapigishwa puli, mbegu zake zinachukuliwa alafu mwanamke anaingiziwa ukeni, kwahiyo si lazma apigwe paip ndo apate mimba, mfano baba nanii alipandikizwa huko majuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…