Hivi MIMBA na MTOTO nani mwenyewe?

Hivi MIMBA na MTOTO nani mwenyewe?

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
745
Hodi kwenye hapa jamvini kwenu wana JF,naomba kupata jawabu kuhusu haya:-
Mimba ni ya nani?
Mtoto ni wa nani?
Maswali haya yamekuja kutokana na mkanganyiko uliopo baina ya wanandoa/wapenzi pale hali hiyo inapojitokeza.
Akiulizwa binti mimba ya nani atajibu ya fulani(Nguli - mfano)ama mtoto wa nani wa fulani(Field-mfano).Sasa hapa huyu binti hahusiki kabisa na hivi viwili ama?
 
😀 dogo unaonaje tukurudishe shule....😀
 
Kosoda mada yako naisoma hata siielewi unataka nini kufahamishwa ..
 
😀dogo mbona mimi sina cheti, cheti wanawapa wale wenye kupenda kujionyesha wamesoma...😀
haaa haaaaaaaa,sasa mie shule nikafanze nini kama ndo hivyo?

Lete jibu bana ndogo acha longo loooongo!
 
😀dogo mbona mimi sina cheti, cheti wanawapa wale wenye kupenda kujionyesha wamesoma...😀
Duuh nimejikuta nikikugongea senksii kwa kuelewa, hiyo yenye red.ndo maana ukakimbilia kutaka unirudisha shule ukiwa umesahau nawe ni mmoja wao?
 
haaa haaaaaaaa,sasa mie shule nikafanze nini kama ndo hivyo?

Lete jibu bana ndogo acha longo loooongo!
😀 Hahaha ok sasa turudi kwenye mada...

Inawezekana mwanamke kusema vile kwa kuwa anajua bila mbegu za kiume yule mtoto asinge zaliwa ndo mana akasema mimba sio yake...yeye kaibeba tu...nadhani wanawake wako right...
 
duuh nimejikuta nikikugongea senksii kwa kuelewa, hiyo yenye red.ndo maana ukakimbilia kutaka unirudisha shule ukiwa umesahau nawe ni mmoja wao?
Yameisha dogo...wewe endelea kujisomesha tu kama mimi...
 
😀 Hahaha ok sasa turudi kwenye mada...

Inawezekana mwanamke kusema vile kwa kuwa anajua bila mbegu za kiume yule mtoto asinge zaliwa ndo mana akasema mimba sio yake...yeye kaibeba tu...nadhani wanawake wako right...
Ok nimekusoma, ila inakuweje wao (wanawake) kujitoa?
na kwanini wanaargue eti hatwendi nao clinic wao wakienda ili kujua mwendeleo wa hiyo mimba?
 
Ok nimekusoma, ila inakuweje wao (wanawake) kujitoa?
na kwanini wanaargue eti hatwendi nao clinic wao wakienda ili kujua mwendeleo wa hiyo mimba?

Mmh! Mada juu ya mada.
Kisodaaa!!
 
Mimba anayo yeye utamuulizaje so nafkr swali anauliza aliesaidiana nae kutengeneza hiyo mimba maana lazima panatakiwa kuwa na mwenza ili mimba iwepo. na kwa mtoto pia anapouliza wa nani anamaana tayari anafahamu ni wahuyo binti ila baba ndie anataka kumfahamu
 
Back
Top Bottom