Hivi MIMBA na MTOTO nani mwenyewe?

ingawa kiswahili cha swali lako hakijatulia kabisaaaa

ni vya wote baba na mama,na kwenda kliniki ni kazi ya wote wawili ili kujua maendeleo ya uhai ulio tumboni na kama kuna ishu yoyote ya kiafya au mfanye kitu fulani kwa afya ya kiumbe uyo ni wote mjue na mtekeleze sio mama alete reported speech--ambazo mara nyingi baba huja kukataa/kukimbia likitokea la kutokea kwa uhai huo ukizaliwa!!!pia kuepuka ile kasumba ya baba kuona mama kahamisha mapenzi kwa mtoto!
kupata taarifa za kitabibu ni MUHIMU/LAZIMA kwa wote tu
 


Ukiulizwa mimba ni ya nani, basi umtaje jina la mwanaume aliyetunga hiyo mimba. Lakini ukiulizwa mtoto ni wa nani, basi uwataje BABA na MAMA. Hivyo, mimba ni ya baba, na mtoto ni wa baba na mama..
 
Kisoda I think u just had a blonde moment, u will get over it soon... we all have ours!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…