Hivi mimi ndiyo wa kunijibu hivi kweli?

Bado unabashiri. Mkeka utachanika huo.

Hii ni oppo Reno 6 Mkuu
Hiyo oppo Reno siku moja kariako nilikuwa natembea nayo vibaka wakanipokonya na kukimbia. Walipoiona ni Oppo Reno 6 wakarudi na kunibamiza nayo usoni na kunikaripia kwa jabza ninunue simu ya maana wakatokomea na kuniacha na maumivu makali ya uso.
 
hahahah.... aise....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…