Hivi mimi nitatosheka na mwanamke mmoja kweli...!

Hilo linaitwa pepo la ngono,kulala na zaidi ya mtu mmoja,mbaya zaidi,c mkeo wala mumeo.Chunga tamaa mbaya cna.
 
Hahahahahahaaa Ndetirima hii nimeipenda sana lol
Ngoja niifanyie research
 
Last edited by a moderator:
LOL.................................................!
 
Huyu jamaa yangu kwa umri alio nao angepaswa kuwa amewowa, lakini kila siku anaendela kupima.........Mara leo yuko na huyu kesha kabalidisha mwingine.....................Yaani kaazi kweli kweli


Ni umri tu kaka, muda ukifika atajikuta mwenyewe anakubali kwamba hawezi kuendelea kutangatanga kama kuku wa kienyeji!!

Babu DC!!
 
Kama uchumi unamruhusu anaweza kabisa asitosheke na hata mia, ila sasa akiwa anaangukia mikononi mwa wachunaji halafu uchumi mbovu atatosheka tu..
 
Anatumia MKUYATI

Mtambuzi umeniacha sina mbavu,na umenikumbusha mbali,hivi wewe watoka Tanga nini?.Umenikumbusha wakati ndio tunabalehe/tunakua kule Kisosora Tanga kunajamaa yetu alipata kidate na mtoto aliyemsumbua kwa muda mrefu basi akaagizia MKUYATI toka Sambaani, bwana,mbona ilikuwa tukio,mdada alikimbia na chupi kashika mkononi maana jamaa wasaa mawili hashuki na hata dalili hazikuwepo,mdada akaomba kwenda chooni ndio ikawa safari tena kwa kukimbia.
 
Mie natokea MKWAJA kule Pangani Tanga, na niliwahi kuishi Lushoto maeneo ya VUGA.............Mkuyati ni koboko ya mambo asikwambie mtu.......................
 
cha msingi ni kufaya maamuzi na kuamini uliye nae ndo zaidi ya wote
 

Wanawake wazuri kamwe hawataisha, na pia kuna usemi usemao kuwa bado wazuri hawajazaliwa. Namaanisha kuwa ifikiwe wakati tukubali kuwa hawa watu hatuwezi kuwamaliza na kuwapenda wote, wako wa namna nyiingi na kila mmoja wao ana uzuri wa tofauti. Cha msingi ni kuamua kuridhika na kuufundisha moyo wako ukubali na kuamini kuwa uliyenaye anatosha. Vinginevyo utajitia matatani na kukupoteza angali ukiwa kijana mdogo.
 
hebu sisi tunaojiona ni vijana wa sasa tusijaribu kutengeneza mazingira ya kutowezekana baadhi ya vitu, kwani sisi ndo wa kwanza kuishi dunia hiiii jamani, mbona tunataka kuendekeza mambo bila sababu ya maana?? wameishi mababu zetu zamani na zamani na zamani na wameweza sisi tunatofautiana nao nini, au kwa kuwa tunakula mayai ya kuku wa kisasa au mchele wa kutengenezwa viwandani?

narudia kusema ukiona wewe ni mwanaume/mwanamke uliyekamili na tena rijali unavua nguo na kuonyesha uchi wako kwa kufanya mapenzi na watu zaidi ya 2 bila sababu za msingi au maana ujue huna akili timamu. Hili halina ubishi kabisa. unaendekeza Uasherati usio na maana, kwanini usitosheke na ulie nae?? ni ujinga na upuuzi sana watu wa namna hii
 
Mwanamke mmoja huwa hatoshi, wala hakuna kitu wala uhusiano unaostay ukitosha, kwa muda. Ni wewe kuamua tu kujiwekea mipaka.
Ni ngumu sana kwa mtu ambaye amekuwa akijipatia kila kitu, kila anapotamani, bila mazoezi ya kujikatalia, atatusaidia kuwa fundisho, we mwache tu.
 
huyo asumbuliwa na pepo la ngono. hebu aende akaombewe tutamkosa cku c nyingi!
 
Safari moja huanzisha nyingine, hivyo mwisho wa yote ni kurudisha chenji kwani kila kukicha vinazaliwa vizuri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…