Hivi mimi superbug sifa yangu kuu humu JAMIIFORUM ni ipi?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Bila kunificha hebu niambieni Mimi superbug Nina sifa gani kuu ? Au mnanikubali kwa lipi? Au hamnikubali kwa lipi? Mimi ni Kati ya member maarufu Sana jf Sasa hebu niambieni nyie mnanionaje onaje Yani?
 
Unatafuta kiki kwa pikipiki

Unafosi bifu mserereko......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kuku imagine sipayi picha..kama kwaya ya Tabata
 
Bila kunificha hebu niambieni Mimi superbug Nina sifa gani kuu ? Au mnanikubali kwa lipi? Au hamnikubali kwa lipi? Mimi ni Kati ya member maarufu Sana jf Sasa hebu niambieni nyie mnanionaje onaje Yani?
Ni kuwa mpuuzi
 
Well yawezekana nilishakusoma michango yako ila kumbukumbu haijavuta kukukumbuka, si mbaya kwa vile akili yangu imekita kusema kuwa ndo nakuona hapa kwa mara ya kwanza, unaonekana unajiamini.

Usirudi nyuma kwenye hilo.

Enjoy your weekend.

Cheers!!.
 
Back
Top Bottom